Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

Vita dhidiyaujinga

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2026
Posts
279
Reaction score
385
Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama ilivyowekwa wazi jipange kwa round ijayo, au databank expired IKIWA takwimu hizi hazina uhafifu.
Kwa masomo mengine tungeweza kuja na takwimu zisizo rasimi ila tumeitumia kiswahili kama study case, sawa?...sawa
 
UHUNI MTUPU "DATA BANK EXPIRED" KWANI HAIWEZEKANI IKAWA "CARRYOVER" KWA MWAKA UNAOFUATA.......AJIRA PORTAL HAPO WANAFELI.....VIJANA WANALALAMIKa JUU YA HILO.......MTU KAFAULU HALAFU WANAMTEMA....HALAFU WANATANGAZA AJIRA YA KADA HIYO HIYO ....SIFA ZILE ZILE...HAPO KUNA UPIGAJI KWENYE HIZI AJIRA....POLENI WANANGU MSIKATE TAMAA.
 
Wasome comment yako waitendee haki aisee wanachokifanya hakionyeshi uhalisia
 
Back
Top Bottom