Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

Vita dhidiyaujinga

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2026
Posts
279
Reaction score
385
Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu)
Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara?
Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji?
Je, hawakuwa na staff imara wamefukuza wote na kuwatafuta walio Bora zaidi?
Anyway,Mimi tangazo nimelipata kupitia kasibante radio ya Kagera kwa kuchelewa na mwisho wa maombi ni kesho 15-10-2026 lakini niseme tu kuwa, jaribu kuchambua uombe nafasi hisika
1-Wanahitajika walimu 7 wenye degree-umri miaka 30
2-wanahitajika madereva 2 secretary 4
3-Wahasibu nafasi 7(kuanzia certificate)
4.walinzi 6 nk
Mawasiliano
0612836995
Njia ya kuomba
[email protected]
Au peleka maombi chuo
Address
P.o.box 465
Bukoba-kagera
 
Back
Top Bottom