La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 252
- 503
Hey, mambo vipi?
It’s me, La Roche,
Kuna watu walisoma LLB na walikuwa na ndoto za kuwa Wanasheria wakubwa lakini leo wanafanya kazi Benki Kitengo cha Corporate Affairs...
Unaweza usisome ukawa Tajiri kwa sababu tu Mungu amempa kila mtu AKILI...Kuna Akili ya Mtu mwenye Degree na Akili kwa mtu aliyeishia La 7...Kuna La7 wengi tu wamefanikiwa na Degree Holders Lundo AKILI ZAO ZENYE DEGREE HAZIWASAIDII...
Huwa nashangaa sana ninapokutana na watu wananiuliza hili swali;
"La Roche,Nna Mtaji wangu nimedunduliza kama Miaka 3 nna Akiba ya 5 Million,Nataka nifanye Biashara naomba unishauri Ni Biashara Gani HAINA HASARA"
Sasa Mimi ni Mshauri wa Biashara au MPIGA RAMLI???Biashara isiyo na Hasara??SIJAWAHI KUIONA...Labda wewe unisaidie Wapi Dunia Hii Kuna Biashara GUARANTEED isiyo na Hasara...
Ukiamua Kufanya Biashara KUBALI YOTE NA UJIPANGE...Hasara yaweza kusababishwa na WEWE....Hasara yaweza kusababishwa na Mabadiliko ya Sheria za Nchi(Waulize WAUZA SHEESHA kilichotokea 2023 jinsi Mabadiliko yalivyoharibu Biashara zao OVERNIGHT kwa Tamko la Siku 1 tu,na wengine walikuwa wameagiza Mitungi DUBAI na ndo wamelipa Kodi waanze Biashara GHAFLA kila kitu kimebadilika)...
Hasara pia yaweza kusababishwa na Kushuka ghafla kwa Uchumi wa Biashara Husika...
Mwaka 2023,ALIKO DANGOTE,alipata hasara ya BILIONI 22,pamoja na Uzoefu wake wote kwenye Biashara ya Simenti kwa Miaka Mingi..WHY??Serikali ya Nigeria iliamua kufanya CURRENCY DEVALUATION na NAIRA ikadrop...Hisa kwenye Nigerian Stock Exchange zilidrop baada ya Uchaguzi kuahirishwa kwa sababu za Kiusalama...Ila haikumfanya Dangote afunge biashara au kutoendelea na Plans zake za Expansion kwa sababu anajua HASARA NI SEHEMU YA BIASHARA...
Sahau Risala yooote ila KUMBUKA,Hakuna Biashara isiyo na HASARA,Biashara zote zilizofanikiwa ni zile ambazo zina-MINIMIZE LOSSES kwa gharama yoyote ili kuweza ku-MAXIMIZE PROFIT to Survive...The Profitable Business is the One with HIGH PROFITS and LESS LOSSES...Endelea kusubiria Biashara isiyo na Hasara na UTAKUFA UMEBUNG'AA MACHO KIMASIKINI!