Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

Wenzenu akina Abduli na Mafwele wamejaza akaunti zao ela na familia zao, nyie mpo bize kupiga mikwara mitandaoni kwa ujira wa elfu 7 kwa siku. Uchawa ni zaidi ya laana, hapo ulipo mama yako kijijini anashindia uji wa ulezi na kipande cha muhogo lakini unajiona nawewe sehemu ya serikali. Hakuna mlamba asali anayeneemeka na serikali ya CCM anayeshinda mitandaoni kwasababu yoyote. Wewe na akina Taahilaah na Lukas MuoshaMbwa ni walamba matako tu mliojichokea. Sababu mmesha left group na m.atako yanawawasha ili mkunwe inabidi muendelee kujipendekeza kwa Abduli. Ila siku sio nyingi kibao kinageuka. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Fukara wa fikra na kipato.

Unadhalilisha utu wako kwa visenti.

Mtu kama wewe kupumuliwa kisogoni kwa vi elfu kadhaa ni swala la sekunde tu.

Na usiku huu, nakuombea kwa Mungu akupatie machungu ya kuondokewa na kila ulicho na nasaba nacho chenye uhai.
Hapo ndio utaelewa machungu ya wale walioporwa uhai wa ndugu zao.
 
mbwaaa ninyi! 😢💔

047E2CEE-1EA9-4C97-A808-C490E359F54F.jpeg
 
wakaomboleze huko Gaza, Sudani na Kongo wamekufa zaidi ya mamilioni wanakuja kuchochea kwetu walikufa kama 518 tu?
Kila mtu apambane na taifa lake! Hata wakifa wote kila mtu anaujua uchungu anapitia kwa watu wake wa karibu!
 
Siku imepita
Nadhani wametia akili
Amani kwanza ili tukae chini kutafuta Haki
Nakwambia sijui huko Maria Sarungi na mange kimambi wanaishije sasahivi ? na walahi tunaanzisha mchango kwa askari waliokalisha yale majambazi chini siku ile
 
Back
Top Bottom