Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

RAIS SAMIA NASHAURI KILA TAREHE 29 CCTOBER IWE SIKU YA KUPANDISHA MISHAHARA YA POLISI NA TUWAPE ZAWADI MAALUM KAMA VIWANJA MAGARI BINAFSI YA KUTEMBEA KWA WALE WOTE WALIOSHIRIKI KUZUIA UASI NA MACHAFUKO
Akitaka hata awahamishie ikulu sisi haituhusu nenda kamuandikie barua au mfuate ukamshauri physically! Mnalipwaga vi digit vi5 ila mnhangaika na zero zenu za form four kujitunisha kupitia utawala huu! Hamtokaa mkaheshimika na raia wa nchii hii🏌🏼‍♂️🚮🚮🚮
 
Kil mtu apambane na taifa lake! Hata wakifa wote kila mtu anaujua uchungu anapitia kwa watu wake wa karibu!
sawa lakini kwetu hakkuwa na mauaji kulikuwa na kuzuia majambazi na waasi
 
KANISA lilidhani lingeweza tena kuhamasisha vurugu

Limekosa uungwaji mkono limebakia kubwabwaja tuh
 
Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.


View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4

huenda wamejitathmini na kugundua kwamba, hakuna mwanausalama alie kwenye kiapo na zana nzito za kazi, anaweza kumkenulia tu mtu anaefanya ghasia au uharibifu mathalani wa kupiga wananchi waliokataa kuunga mkono ghasia hizo, kulipua vituo vya polisi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma makazi ya watu, kuvunja ATMs, maduka ya watu, kupora na kuiba mali na ujinga mwingine kama huo.

nadhani wamejifunza,
na sidhani kama watarudia kufanya hiyo ujinga licha ya kuhamasishwa na kuchochewa sana na baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini na vyama vya siasa nchini.

kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa 🐒
 
Majukum yao wanatekeleza kila wakati, au leo kulikuwa na jukum la ziada?
 
KANISA lilidhani lingeweza tena kuhamasisha vurugu

Limekosa uungwaji mkono limebakia kubwabwaja tuh
watu wameshajua utamu wa risasi, na wamegundua wote wanaohamasisha wapo nje na hawakanyagi huku ila wanataka sisi tuingie
 
KANISA KATOLIKI ni genge la Wahuni tuh

Na ndiyo maana majitu mazima yamebakia kuvaa magauni na kuishi na nyege maisha yao yote huku wakilelewa na sadaka za waumini wao

Rwandan genocide KANISA KATOLIKI lilihusika pia

Biashara ya Utumwa KANISA KATOLIKI likishiriki pia
Bado unamtafuta baba yako katikati ya mapadre!!??
Muulize mama yako vizuri, baba yako alikutana naye kwenye mikesha ya mbio za mwenge na sio kama anavyokudanganya kuwa alikutana na baba yako wakati akifanya kazi za usafi kanisani.
 
Jeshi la polisi litafutwa soon Kisha usaili kuanza upya.

Tunza hii
 
Wenzenu akina Abduli na Mafwele wamejaza akaunti zao ela na familia zao, nyie mpo bize kupiga mikwara mitandaoni kwa ujira wa elfu 7 kwa siku. Uchawa ni zaidi ya laana, hapo ulipo mama yako kijijini anashindia uji wa ulezi na kipande cha muhogo lakini unajiona nawewe sehemu ya serikali. Hakuna mlamba asali anayeneemeka na serikali ya CCM anayeshinda mitandaoni kwasababu yoyote. Wewe na akina Taahilaah na Lukas MuoshaMbwa ni walamba matako tu mliojichokea. Sababu mmesha left group na m.atako yanawawasha ili mkunwe inabidi muendelee kujipendekeza kwa Abduli. Ila siku sio nyingi kibao kinageuka. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
Sio elfu 7 kwa siku. Ni elfu 7 kwa post. Ndio mana kwa siku wanapost hata 10. Ajira nzuri hiyo bwashee
 
Wenzenu akina Abduli na Mafwele wamejaza akaunti zao ela na familia zao, nyie mpo bize kupiga mikwara mitandaoni kwa ujira wa elfu 7 kwa siku. Uchawa ni zaidi ya laana, hapo ulipo mama yako kijijini anashindia uji wa ulezi na kipande cha muhogo lakini unajiona nawewe sehemu ya serikali. Hakuna mlamba asali anayeneemeka na serikali ya CCM anayeshinda mitandaoni kwasababu yoyote. Wewe na akina Taahilaah na Lukas MuoshaMbwa ni walamba matako tu mliojichokea. Sababu mmesha left group na m.atako yanawawasha ili mkunwe inabidi muendelee kujipendekeza kwa Abduli. Ila siku sio nyingi kibao kinageuka. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
kwani wewe na heche mnahela sawa?
 
Hongera sana umejipata na endelea kujisifu ila ukae ukijua kuwa mmeacha maumivu makali sana kwa jamii

Na kwa kadili siku zinavyopita maumivu yanaongezeka zaidi na zaidi

Na mimi nakuhakikishia kikombe hiki ni lazima wewe na hao wenzako mtakinywa
 
Wenzenu account zinajazwa pesa.

Wewe unamaliza bando

Pesa yenyewe 7000 kwa siku .

Bado madeni chunvi nzima

Poleeeeni sana ..

Ndyo maana kundi kubwa ni sdr vii na 1v

Kichwani empty .

Akina Taaaaahiraa na mwanshambaa na genge lake
 
Tunashukuru kwa Amani yetu Tanzania!!

Amani itawale Tanzania wenye

Sisi wengine tulifanya mengi kuakikisha na hile Mo29 kusitokee kifo chochote

Tuliwaonya sana Wachochezi waliotangaza kuzuiya Uchaguzi

Lkn leo
Wanatuona sisi ndio wabaya
Na wao Wachochezi waliotangaza kuzuiya Uchaguzi kwamba ndio wazuri!!!

Kumbe sisi tunajitolea kuzuiya Vifo visivo na lazima
Watoto wa kuzaliwa 2007 kiakili bado kutambua majanga ya ulimwengu

Pongezi zaidi hakuna kifo
chochote

Vijana wamejitambua na kujiepusha na majanga ✅
 
Back
Top Bottom