mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo unaohitaji precision ya hali ya juu katika kuucheza. Godbless Lema kafanya kosa kubwa la kiufundi kama alivyofanya Hezekiah Wenje

    Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu... Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

    Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha...
  3. kibaigwa finest

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo 1.KAPILI MACHUPA Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match 2:ANCET OURA Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora 3:MGUNDA SHABAN Jamaa alitawala dimba la Kati...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je unafahamu nini kuhusu MIND GAME?Je umeshawahi kuchezewa mind game au kumchezea mtu mchezo huu dhalimu wa kikatili? Pascal Mayalla alichezewa na JPM

    Mind game (mchezo wa akili) ni mbinu ya kisaikolojia au ya kimkakati inayotumiwa kumghairi, kumtishia, kumchanganya, au kumfanya mtu afikiri na kutenda kwa namna fulani ili kupata faida au ushindi dhidi yake. Maana na Lengo Kudhibiti hisia: Huchezwa ili kumfanya mtu akose uhakika na maamuzi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaanza kufanya mchezo mbaya?

    Nimecheka sana kukumbuka hili neno "mchezo mbaya", kwanini watu wazima walilipa kitendo hicho jina la mchezo mbaya? Ukidakwa hizo fimbo zake ni balaa, ni kama dunia imeisha, mtaa mzima unajua umechapwa sababu umebambwa ukifanya mchezo mbaya😂😂. Usiombe kubambwa na watoto wa wenzako - redio mbao...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hizi choppa leo si mchezo

    Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Messi Kurejea Argentina Kwa Mchezo Wake Wa Mwisho

    Lionel Messi ameitwa tena kwenye timu ya taifa ya Argentina kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin, Oktoba 6, 2026, utakaochezwa katika Uwanja wa Monumental jijini Buenos Aires. Mchezo huo utakuwa wa mwisho kwa Messi kuichezea Argentina baada ya kutangaza kustaafu soka la kimataifa mwezi...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LEMA waambie Wanagenge wenzio wanufaika wa Pesa za Kimama, Acheni Mara Moja huo mchezo, Watanzania Hawatawasamehe, LISSU hatowasamehe !!

    TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!. Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana . Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kama mchezo, anasahaulika!

    Ya wengine yalianza hivi hivi.......Soka, Mdude, Polepole and many many others! Nowhere to be found until this second of an hour! Muda utaongea.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  16. O

    JamiiForums Kenya Nani Ako na Colours za Kenya? Mystery Yaendelea Huku Heha Movers Wakiingizwa Kwa Mchezo

    Nani ako na colours za Kenya? 🎨👀 Hilo ndilo swali lililotawala mitandao baada ya missing colours mystery kuchukua mkondo mpya, huku brands kubwa nchini zikianza kuripoti kwamba rangi zinazowatambulisha zilikuwa “zimepotea.” Naivas, Jumia, Glovo, KCB, Tecno na brands nyingine ziliingia kwenye...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

    Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha. Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
  18. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo; nikiacha ngumi, mchezo wa ngumi utakufa kabisa Tanzania

    Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
Back
Top Bottom