Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa
Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi nchini Tanzania , mchezo huo utakufa Tanzania akimaanisha utapoteza ubora Kwa mvuto je? Hii ni kweli
Maana angesema hivyo ingekuwa yeye ndio wa kwanza kuleta mchezo huo Tanzania, ana ubora mzuri hilo halikataliki kulinganisha na mabondia wenzake ila ukweli ni kwamba hawatofautiani sana na mabondia wengine Tanzania
Nafikiri hizi kauli tata ni za kujibrand tu Ili awe kwenye head line mitandaoni ila hazina ukweli kama anavyosisitiza