Nani ako na colours za Kenya? 🎨👀
Hilo ndilo swali lililotawala mitandao baada ya missing colours mystery kuchukua mkondo mpya, huku brands kubwa nchini zikianza kuripoti kwamba rangi zinazowatambulisha zilikuwa “zimepotea.”
Naivas, Jumia, Glovo, KCB, Tecno na brands nyingine ziliingia kwenye trend hiyo, zikibadilisha mwonekano wa nembo na maudhui yao na kuwaacha Wakenya wakijiuliza ni nani alikuwa nyuma ya “wizi” huo wa rangi. KFC nayo iliongeza mystery kwa kudokeza kwamba huenda inajua kinachoendelea.
Sintofahamu hiyo pia ilifungua mlango kwa jina lingine ambalo kwa sasa linatawala mazungumzo ya Wakenya mitandaoni - Heha Movers.
Heha Movers ni kundi la vichekesho la Nairobi ambalo limekuwa viral kupitia maudhui yanayoigiza kampuni ya kuhama nyumba. Umaarufu wao umejengwa kwenye skits za kuchekesha zinazowaonyesha wakifika “kuhamisha” karibu kila kitu, jambo lililowafanya Wakenya kuwahusisha haraka na fumbo la rangi zilizopotea.
Mitandaoni, jokes zikaanza kujitokeza: kama colours za brands zimepotea, nani mwingine angekuwa amezihamisha kama si Heha Movers? 😂
Kutajwa kwao kuliongeza ladha ya Kenyan internet culture kwenye mystery hiyo, huku brands na watumiaji wa mitandao wakiendelea kucheza na dhana ya kwamba kuna mtu anayekusanya au “kuhamisha” colours zote za Kenya.
Lakini kadri mystery ilivyoendelea, dots zikaanza kuelekea kwenye Fanta.
Campaign hiyo ilikuwa ikijenga anticipation kuelekea Fantaverse, experience ya Fanta inayofanyika Agosti 22, 2026, ikiwa na music, games, entertainment na experiences mbalimbali.