Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia,
Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita manabii na mitume au kwa waganga wa kienyeji ,
Kuna vitu vimetufikisha hapa hasa sababu ya tamaduni ambazo hazina faida zozote kwa jamii , watu wanatembea na matatizo tena yakusababishiwa watu wenye chuki. Kuna watu wachawi na wanajisifia kabisa mbele za watu , aliye juu hataki usogee alipo na mlio chini mko sawa hataki uwende juu iwe kiuchumi, elimu ,kipawa,nk
Tafakari tu kidogo office nyingi wafanyakazi wanavyo fanyiana unafiki na fitina ili mradi tu kila mtu aonekane mwema kwa bosi ndio uchawa uliko zaliwa , watu awapimwi kwa uwezo alionao bali ni nani kamuonganishia kazi , kinacho fuata ni kubweteka kazini hajali lolote hasa izo kazi za huduma zinazo gusa watu Moja kwa Moja.
Afrika pekee ambako nyeupe inageuzwa kuwa kijani ukijifanya unasimamia msimamo wanakutoa kwenye reli kukupoteza mazima, kila mtu anangalia tumbo lake hajali lolote hatakama tasisi inahali mbaya kiuchumi ni kuiba na kuhujumu,
Nilikutana na jamaa yangu tulio soma wote primary miaka hiyo mjini akaniambia ana miaka 7 hajawai kuludi nyumbani kwao na hana mpango huo hata mawasiliano amekata sababu ya ushirikina na wivu wa maendeleo ndani ya familia. Baba mzazi anamfanyia ushirikina mwanae wa kumzaa hakuna kitu kinasogea miaka upo vilevile hakuna kitu kinasogea kwenye maisha kaamua kutoka kujitenga kabisa.
Siamini kama nchi zenye maendeleo wanahayo mambo kama yapo basi kwa uchache sana.