Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.
Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona
Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure.
Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
Baada ya kuniambia hivyo namimi nikamjibu kwamba.....
Mbona ameishi karibu na baba yake miaka yote na bado yupo hai...🤣
Ndani pamewaka moto, Gen-Z kakukatana na majibu ya mubaba wake...🤨
Au nimekosea kumjibu wakuu....🙄
Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
Mama kabaki na machawa tu. Hakuna wa kumuamini zaidi ya Wanzanzibari wenzake tu. Huku bara kabaki na machawa tu. Na asipokuwa makini watamaliza kama Magu hukohuko hospital na kusema alikuwa na strock au ugojwa wa moyo. Hawezi kuweka madaktari wote wa Zanzibar kila wakati. Umashuhuri mdogo wa...
Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi.
Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi.
miongoni mwa mambo mengi...
Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia,
Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?
Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
Kufuga senene kwa ajili ya biashara ni wazo jipya lenye fursa kubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kwa muda mrefu senene wamekuwa wakivunwa tu msimu wao unapowadia (kawaida kuanzia Novemba hadi Desemba na mara chache mwezi Aprili/Masi).
Hata hivyo, ufugaji wa senene kibiashara unahitaji udhibiti...
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.
Hao watoto...
Masikini wanabidi wazae watoto wachache na matajiri au watu wenye kipato kikubwa wazae watoto wengi na sio kama ilivyo Masikini wamekuwa wabishi. Kukubaliana na huu ukweli
Watoto wanahitaji mipango na mikakati.
Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida.
Kwa kifupi, nilijiona ninaishi maisha mazuri sana.
Hadi nilipomaliza chuo na kuanza kujitegemea mwenyewe.
Hapo...
Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa
https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi...
Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi.
Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.