mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.
Hao watoto mnaowazaa hawakuomba kuzaliwa na nyie hoehae , na ni ubinafsi mkubwa na ukatili mkuu kukileta duniani kiumbe usichoweza kukihudumia mpaka kitakapoweza kujitegemea.
Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana , tena nakereka ninapokutana na jitu masikini lenye watoto WA 3 na bado linaishi bila wasiwasi Huku watoto wakiishi mazingira magumu!!. Wazazi wa namna hii ni laana