Masikini wote, Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana

Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.

Hao watoto mnaowazaa hawakuomba kuzaliwa na nyie hoehae , na ni ubinafsi mkubwa na ukatili mkuu kukileta duniani kiumbe usichoweza kukihudumia mpaka kitakapoweza kujitegemea.

Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana , tena nakereka ninapokutana na jitu masikini lenye watoto WA 3 na bado linaishi bila wasiwasi Huku watoto wakiishi mazingira magumu!!. Wazazi wa namna hii ni laana
Kama kuna kitu hukijui basi ni ni kwamba "watoto ni utajiri" wapo watu walizaliwa wengi wao wakazaa mtoto mmoja/wawili leo wanaweka mikono kichwani hao wa maskini hawawezi kufanana wote wapo watakaojiweza ,maana njia zenye mapito ndio hufanikisha watu.
 
Nonsense..Eti watoto ni utajiri..watoto NI jukumu ..Fix your life kabla hujaamua kupata mtoto fool
 
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.

Hao watoto mnaowazaa hawakuomba kuzaliwa na nyie hoehae , na ni ubinafsi mkubwa na ukatili mkuu kukileta duniani kiumbe usichoweza kukihudumia mpaka kitakapoweza kujitegemea.

Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana , tena nakereka ninapokutana na jitu masikini lenye watoto WA 3 na bado linaishi bila wasiwasi Huku watoto wakiishi mazingira magumu!!. Wazazi wa namna hii ni laana
Kama kuna kitu hukijui basi ni ni kwamba "watoto ni utajiri" wapo watu walizaliwa wengi wao wakazaa mtoto mmoja/wawili leo wanaweka mikono kichwani hao wa maskini hawawezi kufanana wote wapo watakaojiweza ,maana njia zenye mapito ndio hufanikisha watu
Nonsense..Eti watoto ni utajiri..watoto NI jukumu ..Fix your life kabla hujaamua kupata mtoto fool
Jichanganye na mtoto mmoja mwehu ndama
 
Kuna muda natamani sana katika uzao wa Baba na mama yangu tungezaliwa wengi.

Pumzika kwa Amani Baba, mama na Dada yangu
 
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.

Hao watoto mnaowazaa hawakuomba kuzaliwa na nyie hoehae , na ni ubinafsi mkubwa na ukatili mkuu kukileta duniani kiumbe usichoweza kukihudumia mpaka kitakapoweza kujitegemea.

Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana , tena nakereka ninapokutana na jitu masikini lenye watoto WA 3 na bado linaishi bila wasiwasi Huku watoto wakiishi mazingira magumu!!. Wazazi wa namna hii ni laana
ukweli mchungu huu🤔
 
Kuna muda natamani sana katika uzao wa Baba na mama yangu tungezaliwa wengi.

Pumzika kwa Amani Baba, mama na Dada yangu
Usiombe ni hasara tupu tena bahat mbaya ukute mama ndo muongeaji ktk familia kwisha habari yenu
 
Back
Top Bottom