isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Hamna hoja ya msingi hapo
Tanzania Haina idadi kubwa ya watu ila mifumo ndo mibovu
Matajiri wengi wa TANZANIA 90% kazi zao zinategemea uwepo wa watu Masikini.
Mfano ni MO , Bakhressa n.k
Unapimaje hoja kuwa ya msingi au lah!?
Tanzania ina watu zaidi ya watu millioni 70. Na asilimia 51.3 wapo kwenye umaskini wa kutisha, bado kuna asilimia ya watu ambao wapo kwenye umaskini na sio wa kutisha.
Utajikuta umebaki na watu takribani millioni 15 to 20 ambao sio maskini.
Unaposema matajiri wanategemea maskini inamaanisha nini? Watu wenye vipato vizuri hawanywi Soda na Juice? Hawatumii Sabuni? Hawavuki maji kwa Sea Tax? Hawali Tambi na Chapati?
Maskini ndio wanashindwa kufanya mengi yaliyowekwa hapo juu! Hivyo Bakhresa hategemei maskini.