Masikini wote, Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana

Mpe heshima yake! Mwalimu wa dini yule.
Mwalimu wa dini ndio uzalishe kama panya alafu ukimbie? Ndio dini Yao inawafindisha hivyo?
Sikubaliani na kutelekeza familia; ila asiwe referred kama kibaka while is respected man in his society.
Respect gan unaongelea babu? Kuoa wanawake wa3 na kuwazalisha watoto 17 kisha uwakimbie ndio respect? Hao walimu wa dini wanaendeza sana ngono usikute huko alikokumbilia anaenda kuoa wengine na kuwazalisha picha linaanza upya
 
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika mazingira magumu sana mno na kuongeza idadi ya masikini na watu wenye uhitaji wa lazima.

Hao watoto mnaowazaa hawakuomba kuzaliwa na nyie hoehae , na ni ubinafsi mkubwa na ukatili mkuu kukileta duniani kiumbe usichoweza kukihudumia mpaka kitakapoweza kujitegemea.

Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana , tena nakereka ninapokutana na jitu masikini lenye watoto WA 3 na bado linaishi bila wasiwasi Huku watoto wakiishi mazingira magumu!!. Wazazi wa namna hii ni laana
Hawawezo kukuelewa mana ngono ndio starehe yao pendwa.
 
Mnaojifanya matajiri wengi kimoja chali..
Msijifiche kwenye kichaka cha ugumu wa maisha..
 
Back
Top Bottom