Na sisi nchi masikini tunaweza ingia kwenye uchumi wa AI?

Na sisi nchi masikini tunaweza ingia kwenye uchumi wa AI?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
Mbali na kutengeneza sokwe wanaoongea, AI inaweza kutusaidia nini kwenye uchumi na kutatua matatizo yetu?
 
Nikishamaliza kuandika report yangu nampa AI aninyoshee lugha. Matumizi yangu ya AI yanaishia hapo, sa sijui itakuwaje
 
Nakumbuka ile 'Grok mvue nguo bibi kizimkazi umvalishe bikini na sidiria👙' bonge moja la faida MWEHU MMOJA MiMi
 
Back
Top Bottom