Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
677
Reaction score
1,234
Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi.
Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi.

miongoni mwa mambo mengi niliyogundua ni kwamba, watzanania wanatamani sana maendeleo ila hapo hapo UCHAWI na USHIRIKIANA hawataki kabisa kuachana nao... wanasahu fika kuwa uchawi na ulozi ni vitu viwili ambavyo havipatani kabisa.... yaani ni ngumu au haiwezekani kabisa ukawa machiwi na hapo hapo ukataka KUPIGA HATUA.

Ushirikina hauna faida yoyote ila kuharibu na kurudisha nyuma... nina imani bila ushoirikina huenda tungekuwa na umasikini mdogo zaidi ya tulio nao sasa.

hali ni mbaya... hali inatisha sana huko... mpaka vibinti vidogo ni vichawi na vishirikina kabisa...
vijana mnaotaka kuoa... jiepusheni na mabinti kutoka familia chafu(wachawi na washirikina)

ukioa mchawi tu aidha kwa kujua au kutojua... ndiyo tiketi ya umasikini kwenye familia yako.. hata kama utakuwa na hela zitapukutika zote.. kwa sababu ushirikina unapingana na maendeleo automatically... utakuwa na familia na kizazi masikini.

vijana chunguzeni sana hao mnaotaka kuwaoa... chunguzeni sana familia mnazotaka kuingia ... shauri yenu.
 
Back
Top Bottom