Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Hivi inakuwaje mtu unaingia social media, let's say TikTok au Instagram unaona video ya mtu mwenye confidence amejipost anadance, au anaimba nyimbo, au anafanya chochote kile kinachompa furaha halafu unaanza kuandika comments za kumbully. Why do you feel the need to destroy someone's happiness, why destroying someone's confidence ?
Hivi unajua kuwa watu unaowaandikia hizo comments ni real people?
Last month kuna binti wa South Africa alikuwa anacheza sana Call of Duty, kila post atakayotuma ilikuwa ikipokea hate comments, hadi akatengeneza video kuambia watu wasimbully ila hawakumuacha wakawa wanamvamia hadi DM kumtukana. Siku chache baadae amejiua binti wa watu
Kipindi Juice Wrld alipotoa nyimbo ya Bandit, aliimba akiwa kifua wazi. Kwenye comments kila mtu alikuwa busy kuponda muonekano wa Juice Wrld badala ya kuongelea nyimbo yenyewe. Baada ya kifo chake, kila mtu akarudi YouTube kufuta zile comments. Though Juice Wrld alikufa kwa madawa lakini still watu walioacha mean comments kwenye nyimbo yake waliona haja ya kwenda kufuta comments, walijua hata kama hazihusiani na kifo chake still sio vizuri kuandika zile comments, so waliandika makusudi
Watu wa race mbili, mfano couple ya black man na white woman wakijipost wanaenjoy penzi lao, kwenye comments utaona hate comments. The most common one ni "Mudshark" ambayo ni slang inayotumika kuwadhihaki watu waliodate nje ya race yao, especially wazungu waliodate na watu weusi
Kuna mama alikuwa anampost mwanae, ila mwanae alikuwa na condition sura yake haikuwa formed vizuri since anazaliwa, na alikuwa na health issues nyingi. Kwenye comments kila mtu alikuwa busy kumtrash mtoto wake, wanaandika comments kama "Omg is that even a human". Siku chache baadae mtoto yule alifariki kwa maradhi na watu wakawa wanacomment "Thank God that thing died"
Swali ninalojiuliza kwa nini mtu unaenda kuacha hate comments kwenye page za watu ambao hawajakukosea? Kwa nini usipite tu content kama hujaipenda? Watu wanafanya watu wengine waogope kupost moment zao za furaha mitandaoni, dunia ina matatizo mengi tayari acha watu waenjoy basi maisha yao hata mitandaoni
Internet has turned a lot of people into bullies