mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Bureau 121 : North Korea na Ajira Rasmi ya Wadukuzi wa Mitandaoni

    APT - Advance Persistence Threat - Maana yake hawachoki wala hawapoi Fikiria serikali ya nchi inaamua kuunda kitengo cha udukuzi mahususi kuiba hela mitandaoni Mnamo 1998 chini ya amri ya kiongozi wa zamani Kim Jong-il, Serikali ya Korea Kaskazini iligundua mapema kuwa vita vya mtandaoni ni...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wanaandika comment mbaya mitandaoni za kubully watu?

    Hivi inakuwaje mtu unaingia social media, let's say TikTok au Instagram unaona video ya mtu mwenye confidence amejipost anadance, au anaimba nyimbo, au anafanya chochote kile kinachompa furaha halafu unaanza kuandika comments za kumbully. Why do you feel the need to destroy someone's happiness...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni

    Ujumbe maridhawa, anayetaka asome, asiyetaka just skip, usitukane
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  5. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ngoma za kuhimiza matusi zilizo hewani, wadada wa maudhui ya utupu wanapewa promo mitandaoni na malezi dhaifu ya wazazi. Hapa mabinti wenu hawachomoki

    Ni ngumu sana maana binti kazungukwa na matusi kila kona haswaaa hawa mabinti amba baba zao lazima avuje jasho na mgongo uume ndio apate pesa.
  6. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wangu wa Utapeli juu ya Wanaopost na kuuza mikeka ya kubet mitandaoni (Tipsters)

    Hello Wadau Nimekuwa niki-bet mara kadhaa na pia kupitia mikeka ya Tipsters mbalimbali. Lakini wasiwasi wangu mkubwa ni juu ya hili wimbi kubwa la Tipsters mitandaoni wanaozidi kuongezeka wengine wakiwa hao wachambuzi wa soka. Nilichogundua hawa Tipsters wengi wanaingia mikataba na kampuni za...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Katika pita pita zangu huko mitandaoni nimeliona hili.

    Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%. Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k. Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huwa unafuatilia anachofanya mwanao Mitandaoni?, Ripoti ya UNICEF inasema watoto Milioni 15 wamekutana na Maudhui ya Kingono

    Kadri siku zinavoenda Mtandao ya kijamii inaonekana kutokuwa sehemu salama kwa watoto kutumia bila usimamizi, kwani wanaweza kukutana na maudhui hatari au yanayoweza kuwaathiri. Nchini Marekani, Meta, kampuni inayomiliki Instagram na Facebook, hivi karibuni ilikubaliana kumaliza nje ya...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania TCRA haioni hawa matapeli mitandaoni wanaotumia majina ya watu maarufu kujinadi kuwa wanatoa mikopo?

    Hii inanishangaza sana. Watu wanatoa wapi ujasiri wa hadi kulipia kabisa matangazo Insta na Facebook kunadi utapeli wao huku TCRA ikiwepo? Ninashangaa sana. Nimeona kuna matapeli yanatumia majina ya Mo Dewji, Spika Mstaafu Tulia na Lady Jay Dee kudai wanatoa mikopo huku wakijua kabisa ni uongo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni na Bush lawyers: If a person tries to frighten, threaten, intimidate or force in relation to treason in Tanzania

    Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the United Republic, the Parliament, or the courts. Here are simple, hypothetical examples of how a...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kakutana na raisi wa UAE leo kudumisha ushirikiano ila wewe mwarabu wa yombo dovya unajifanya kutukana wayahudi mitandaoni😁

    Endelea kupiga ramli😁
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

  16. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Akaunti Bandia Mitandaoni: Kwa Nini Ukubali Urafiki wa "Wachunguliaji" na Wambea?

    Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa akaunti zisizoeleweka. Akaunti hizi mara nyingi zinatumia majina bandia, picha zisizo zao (au picha...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Onyo: Usimwoe mwanamke anayejipost mitandaoni

    Mwanamke anayejipost mitandaoni aidha ni malaya au ana tatizo la akili. Kutwa kutwa kujirekodi na kutuma picha mitandaoni. Huyo hamna kitu
Back
Top Bottom