Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.