Katika pita pita zangu huko mitandaoni nimeliona hili.

Katika pita pita zangu huko mitandaoni nimeliona hili.

CCM imetuletea ujinga mwingi Sana,yaani viwanda milioni nane, halafu nchii ya sita Kwa umaskini, Nina uhakika Tanzania manufacturing industry hazifiki elfu moja, processing hazifiki elfu mbili, ila kama cherehani, kufyatua tofali , kufinyanga vyungu ni viwanda basi vipo vingi
 
Back
Top Bottom