Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata wale tunaowana ni watata wanaijua mipaka yao,

Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.

Pichani nikifikiria naweza kumuona kama tajiri tu lakini kwa jinsi anavyopambwa inakuwa kama fiction.


Kuna Ukweli wowote ?
 
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Nide mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, ni mtu mwenye pesa nyingi sana.

Ila yote hayo anayoyafanya ni kwa chini chini hapendi kelele,

NI KWELI ?
not only powerful man,
but the tycoon is very brilliant in business politics in Africa. Full stop.🐒
 
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, ni mtu mwenye pesa nyingi sana kuzidi hata matajiri maarufu tunaowajua, wengine wamefikia kusema kwamba hata viongozi hawa tunaowana watata hawana ubavu wa kuinga anga zake

Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.


NI KWELI ?
Rostam amemnunua KIKWETE, ZITTO na genge lao lote linalowazunguka ikiwemo baadhi ya viongozi wa dini kama kina PENGO na MALASUSA.
 
Back
Top Bottom