Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Vipo vingi hadi vinatia kinyaa. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya, alikosea kwa kuumba na kuleta vinyamkera ambao wamegeuka kero katika taifa letu. Vinyamkera hawa wanakula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Hawashibi wala kuridhika. Ni viumbe hatari kuliko hata chawa wanayonya damu. Ni viumbe wa ajabu na hovyo hakuna mfano.