pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Nyie nao wapuuzi tu, si juzi tu hapa huyu mama alivyoshika nchi mkaanza kumshangilia au sio nyinyi sasa tulieni hawanyoosheMagufuli ameharibu sana Nchi yetu.
Ndio maana alikufa kibwege sana.
1. Amewanunua na kuwaua wapinzani.
2. Kumiminia watu Risasi na kuwateka mchana Kweupe.
3. Kuleta Viongozi wa Ajabu, Sijui aliwezaje kukaa na Samia 6 years?
4. Uongo kwenye Matukio na Takwimu zote za selikalini.
5. Vikundi vya Wasiojulikana.
6. Taasisi ndani ya Taasisi.
7. Kusigina na Kuvunja katiba Mchana kweupe.
8. Kupora Uchaguzi.
9. Kusingizia wapinzani hawajui kusoma na kuandika.
10.Ushenzi tu.......
Inaonekana hamjui mnachokitaka