Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kuna wale waliobahatika kukuta mifereji kwenye familia zao.
Nimeona watu wakipata kazi wako chuo mwaka wa kwanza, wengine mwaka wa pili na wengine wanasubiriwa tu wamalize chuo waanze kazi bila kujali matokeo wala nini .
Wengine wanashindwa waende wapi, baba ana kituo cha Afya , serikalini kaka yake mkubwa doctor , tena senior mwenye vichochoro vyote. Kijana anawaza afanye kazi kwa baba yake au aende serikalini.
Mwingine kamaliza degree ya Logistics serikalini ana mbuyu, kaka mkubwa ana kampuni yake anachagua aende wapi.
Kuna wewe hapo na Mimi , urithi pekee ni shamba la vijijini ambalo ni sawa na bure kabisa.
Wengine mpaka boom mlikuwa mnawatumia wazazi wanunue mbolea .
Umemeliza chuo mpaka nyau anakadharau.
Kuku wanafanya sex mbele zako.
Wengine mlisitisha masomo kwasababu ya umaskini.
Kilichobaki ni kujilipua tu aidha ufe au utajirike, au aidha ufungwe au utajirike .
Watoto wako watakutoa kafara wakikua.
Watoto wako watasema Mzee alifeli hata kununua mashamba mkuranga , kama sasa hivi tunavyosema Mzee alifeli hata kununua mashamba Goba , maana tunaona jinsi watu wanavyokula mamilioni ya bure Goba sasa hivi. Tukiwauliza wanasema wazazi wao walinunua hekari 3 kwa fedha ndogo tu. Ni kama makadirio ya mshahara mmoja wa kipindi chao.
Fanya juu chini hakikisha umaskini unauacha