Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.

Ni kweli tuna bahati mbaya lakini Watanzania tuna angushwa na unafiki
 
Kwani sisi watanzania siyo wabovu.
 
nonsense 🐒
 
Ujinga & kutokutofautisha CCM na vyombo vya ulinxi na usalama, nfio chanzo kikubwa cha matizo tuliyonayo!
Wakati wa uchaguzi, wajinga walio wengi,wanaambiwa chagua CCM Kumbe kuchagua CCM automatically umechagua POLISI,JESHI,TISS,UHAMIAJI, MAGEREZA NA JESHI LA ZIMA MOTO.
 
Je Tanzania tuna bahati mbaya ya viongozi wabovu na wabinafsi? Au tatizo kati yetu ambao ni wanafiki wapo ambao wanajua ukweli lakini wamekuwa machawa. Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.

Ni kweli tuna bahati mbaya lakini Watanzania tuna angushwa na unafiki
1. Kuna mazingira ambayo Wenye uwezo wa kuongoza wanawekwa mbali na chungu. Wenye uwezo mdogo ndio waliojazana kwenye madarakani
2. Mazingira mengine nikwamba, wenye uwezo wa kuongoza wanafanya majukumu mengine kwa sababu mbalimbali na kuwaachia wenye uwezo mdogo waongoze.
 
Mfano mzuri ni bro Pascal hapa na Kabudi ni watu waelewa na wanajua ukweli lakini hawana muwezo wa kusema ukweli kwasababu ya manufaa yao.
Ongeza na Mkumbo
 
1. Kuna mazingira ambayo Wenye uwezo wa kuongoza wanawekwa mbali na chungu. Wenye uwezo mdogo ndio waliojazana kwenye madarakani
SABABU WANAJUANA NA KUCHAGUANA AMA KUPEANA
2. Mazingira mengine nikwamba, wenye uwezo wa kuongoza wanafanya majukumu mengine kwa sababu mbalimbali na kuwaachia wenye uwezo mdogo waongoze.
WENYE UWEZO MDOGO WANATUMIA VITISHO NA RAFI KUWAENGUA WENYE UWEZO MKUBWA, hasa low brain akikalia kiti
 
Back
Top Bottom