Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Mada zangu mnaona kama kichaa ila ukweli ndio huu.
kwa sasa hawa pande hizi wamewekeza CCM na lile kusema kuna vikosi na majeshi yana toka huko mtabisha ila weka kumbu kumbukumbu.
Kuna kitu CCM mtajialumu na huyu mtu kutoka UVCCM mwenye kauli tata zake za kuteka.
Nchi inaenda kugawanywa na znz na hakuna mwenye kushika kufanya na history zitajirudia mpaka kwa Nyerere muungano na uganda ile vita,mpaka ukatili wake na IGP wake.
Mwenye kuona mbali na familia yake kuweni chonjo ndio kipindi tutapita ya hawa znz wanataka kuua nchi kabisa.