Kwanini single Mothers huwa wana mahasira muda wote?

Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi.
Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
Siyo kweli, mbona wako kawaida tuu? Labda huyo wako kamkumbuka mzazi mwenzake.
 
1. Daddy issues. Wengi wao tokea utotoni wanakuwa na changamoto za kimalezi zinazosababishwa na kukosa malezi sahihi ya baba. Aidha baba alikufa mapema, alimtelekeza mama, au tu baba alikuwa mkorofi ndani ya familia. Matokeo yake ni kufa kwa baba kunamuacha mtoto wa kike na hasira za maumivu ya kumkosa mtu pekee ambaye angempenda bila masharti, au baba kumtelekeza inamuacha na majeraha ya kujiona hana thamani na hivyo kuchumkia kila mwanaume atayemjia, au kushuhudia baba akimshambulia mama kwa kauli mbaya au shambulizi la mwili na hivyo kuona wanaume wote ni tatizo. Hii inaweza changia hasira za mara kwa mara kwake.

2. Ugumu wa maisha: wanawake hawajaumbiwa kuhangaika na Haya maisha especially na haki ngumu ya Sasa ya uchumi wenye gharama nyingi zisizo na ukomo. Katika ulimwengu wa afya ya akili, hormones zinazoweza kuchochea hasira na stress kama matokeo huweza kuzalishwa mwanamke anapokuwa katika pressure au mazingira ya kumpa stress. Hii pia inaweza kuwa sababu ya kuwa na hasira sababu wengi wao hudeal na changamoto za utafutaji wa maisha wenyewe.

3. Trauma za kimahusiano: Single mothers wengi hupitia Hali ya kuwa na stress na hasira chanzo mojawapo kikiwa ni kukosa namna ya kudeal na matukio ya kuumizwa awali. Kitendo au kauli yoyote inaweza kutrigger hizo hasira na kufanya akasirike haraka. Kwa mfano, mwanamke ambaye alitelekezwa na mtu ambaye alimuamini sana na kujiachia kupata nae mtoto, akikutana na mpenzi mpya na pengine akaongea kauli tata ambayo inataka kufanana na ya aliyemuacha ni rahisi sana kupanic na kireact kwa hasira.

4. Malezi mabovu: single mothers mara nyingi hutokea kwa single mothers house holds. Watoto wa masingle mothers wengi hulelewa malezi ambayo hukiuka haki nyingi za mtoto na kupelekewa kushape tabia ya mtoto kuwa mbaya. Mfano wa malezi yanayozalisha tabia mbaya ni kumsilikiliza mtoto kuliko pitiliza hadi mtoto anakuwa anajiona yeye ndio controller wa maamuzi, huyu akija uraiani ataamini kila kitu kinatakiwa kwenda anavyotaka yeye kinyume la sivyo ni atapatwa na hasira na kuona hasikilizwi.

Nyingine ni tabia ya kumuacha mtoto analia lia hovyo kwa kudeka hiyo huzalisha katabia kakutumia hasira za kilio kuweka msisitizo wa anachotaka, akija kuwa Mtu mzima hii tabia hugeuka kuwa kukasirika haraka bila sababu za msingi.

5. Afya ya akili: Hili nimeligusia kwenye hoja za juu ila linahitaji ufafanuzi wa pekee. Hadi mwanamke anakuwa single mothers Kuna uwezekano mkubwa sana sehemu ya utashi wake kiakili haupo Sawa Sawa. Hivyo basi usishangae kuona anakasirika ukadhani anataka pengine ni changamoto za afya ya akili zinamuendesha.

Hizi nichache ila sababu zipo nyingi zaidi
 
🚮🚮🚮🚮
 
Mbona Wapo Poa Tu Ado Ado Tu Unaishi ♥️
Wana Moyo Nao 🌿💞⚘️🌹♥️💘🍓💓💕📌🔨
 
Back
Top Bottom