Amani kwenu wakuu
Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika
Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki
Dah...
Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA.
Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana...
Ndugu zangu Watanzania,
Nchi na Maendeleo ya Nchi yoyote ile yanaanza kwanza kujengwa kichwani na ndipo yawekwe katika karatasi na hatimaye utekelezaji. Hata nyumba inajengwa kwanza kichwani kabla ya kuwekwa tofali. Hata dereva anaye endesha gari anapaswa kupita kwanza yeye kiakili na ndipo...
Scholarships now open!! —
Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026.
Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and...
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.
Conditions:
Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja
Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana
Kutakuwa kuna...
Mbunge wa Hai Mjini, Saashisha Mafuwe ameiomba Serikali kuwakopesha wanaume wote mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, ili iwasaidie katika shughuli za kimaisha.
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,
Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee
Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo wata wanalipwa kila mwezi tunaweza kupunguza gharama sana na kuongeza ufanisi kwa kuondokana na bunge...
Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo,
Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%..
Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao.
Vyenginevyo...
https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v
=======
Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefungua...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Ukweli usemwe na uwekwe wazi
Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda
Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala
Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi
Inasikitisha sana
SAYUNI BOY
Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.