wote

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  2. M

    Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  3. Dialogist

    Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  4. Ricky Blair

    Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

    Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China...
  5. T

    Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  6. B

    Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Hongereni Usalama wote ambao mmeamua kuwa upande wa raia na nchi, kuwa wazalendo.Kazi yenu tunaiona

    Uzi tayari "Wewe jamaa naye ni great thinker?!?"
  8. B

    Pre GE2025 Kijana Mzalendo CCM: Tundu Lissu na Heche Ndio Majabali wa siasa Tanzania, ni Game Changers. Wananchi wote tuwaunge mkono bila kujali vyama

    Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija. Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania lakini moja ktk mahojiano yake yamevuta Attention Kubwa Nchini. Kwanza izingatiwe kuwa huyu si...
  9. Pinda Nhenagula

    Karibuni sana simba na yanga na wana michezo wote

    Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
  10. MamaSamia2025

    Ninawapa alama 0/100 washiriki wote wa mdahalo StarTv kuhusu uchaguzi wa CHADEMA. Tazama video.

    Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
  11. Annie X6

    Mtaala mpya wa kidato cha kwanza 2025; Somo la Biashara ni lazima kwa wanafunzi wote nchini?

    Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni...
  12. G

    Division 1 ya point saba imepoteza hadhi, Shule kama Saint Francis wanafunzi "wote" wamenyoosha, nashauri kuanzishwe division 1 ya 6 na 1 ya 5

    Hii imekuwa too much sasa, hawa mabinti wa saint francis wanaifedhehesha Necta 😂 Division 1 ya saba kwao imekuwa kama kumpa samaka mtihani wa kuogelea, kila mwanafunzi anaibonda !! Shule imesha master mbinu ya kuwafanya wanafunzi wote wapate division 1 ya saba. Nashauri kuongezwe division za...
  13. Azoge Ze Blind Baga

    Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
  14. Baba Vladmir

    Kheri ya mwaka mpya 2025:Ninawaombea wagonjwa wote wanaohangaika na magonjwa sugu,Mungu awaponye.

    Wasalaam. Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
  15. J

    Kosa kubwa la watanzania na wafrika wote kwa ujumla ni kuabudu watu badala ya principles na integrity.

    ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa. Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali hata raia wa Africa wote walisha kuwa watu wa kuabudu watu badala ya kuwalazimisha kufuwata...
  16. Career Mastery Hub

    Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  17. Pdidy

    Heri ya Mwaka Mpya kwa Wana CCM wote, kazi iendelee

    Kidumu chama cha mapinduzI Nawatakia hapoye new year Wana CCM wote katika Bwana Mkawe na MWAKA WA furaha na baraka
  18. Komeo Lachuma

    Huyu Said ni nani humu JF ambaye wanaamini ndiye Baba wa members wote?

    Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi isiwe Komeo la Chuma Ali au Ngendembwe John. Ila mmeamua iwe 1. Komeo la Chuma Said 2. Kizuio Said...
  19. Tate Mkuu

    Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  20. R

    Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
Back
Top Bottom