Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
TUUMEWASHA MSHUMAA

Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba

Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk.

Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe.

Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki na nusu ya tanzania Shilingi, unaweza kukatia Familia yenye watu watano.

Watu wa Mtwara wahimizwa wajiorosheshe ili wakiuza koroaho hela akatwe moja kwa moja.

Katibu Mkuu Wizara ya afya amehizi wahudumu na Watendaji Wizara ya afya kuboresha utoaji huduma na waione bima ya afya kama fursa ya kutoa huduma bora.

Bado Mchengerwa hajaongea.

Nini maoni yako. Je, huduma zitaboreka? Toa dukuduku lako. Nini kuboreshwe? Je gharama ya bima ni kubwa au ndogo? Wizara ibadilishe nini?
iaQL1hVI_400x400 (1).jpg
 
Back
Top Bottom