Lema, safari yake ya kisiasa naona ikitamatika vibayaNdoo ujumbe wa Leo
Sio kila mpinzani anayekwenda jela ni mpinzani brother...Umewahi kwenda jela kwa sababu ya CHADEMA zaidi ya kuwa ‘silver surfer’ and ‘keyboard warrior.
Embu jaribu kuvaa viatu vya Lema ata kwa siku Moja kwa mkutano wa mtaani kwako tu.
Mambo mengine ni rahisi kwa kuropoka tu.
Lema kaenda jela kwa sababu nyingi sana kabla ya siasa.Sio kila mpinzani anayekwenda jela ni mpinzani brother...
Wengine wanakwenda ili uaminishwe mko pamoja...
Simuhukumu Lema, ila ana sifa nyingi za uhuni huo.
Leo utaanzisha threads kama zoteNdoo ujumbe wa Leo
Lema ameanika ujinga wake hadharani!Amenishangaza sana kumlaumu Mange kuhamasisha maandamano badala ya aliyeua. Halafu kumbe amekuwa ni mtu wa kufanya vikao na viongozi wa serikali kujadili mambo ya chama, sasa anafanya kama nani sijui
Halafu anaanza kuwasemea watu wengine sijui Sugu, Mbowe...
Lissu ameshaweka wazi yuko tayari kwa lolote na hayuko tayari kukaa mezani gizani...Ain’t nobody cares what CCM is thinking nor their reasons to seek peace; muhimu kwanza kwa mtu yeyote timamu ni uhuru wa Lissu.
Sio swala la huruma wa Lema, mimi au wewe.Lissu ameshaweka wazi yuko tayari kwa lolote na hayuko tayari kukaa mezani gizani...
Hizo huruma za Lema mwambie abaki nazo...
Tunawajua wahuni wote ndani ya Chadema, ni suala la muda tu...
Kwamba Lema mwenye elimu ya hapa na pale anaelewa nini cha kufanya kuliko Lissu mwenyewe...Sio swala la huruma wa Lema, mimi au wewe.
Issue ni Lissu anasota jela to gain what?
Kwa sababu international community doesn’t care.
Acha kusikiliza upuuzi wa hadithi za wanaharakati kukuza mambo madogo ambayo hayana impact au ni ya wazungu kutaka mabadiliko.
Lissu anasota jela for nothing; someone has to tell him the hard truth. Watesi wake MaCCM yanapeta tuu mtaaani.
Acheni kujiongopea, Lissu anaumia bure; busara ni kumtoa jela kwanza mengine baadae.
Yaani nyie mnataka mwenzenu aumie to justify your cause; nenda na wewe jela kama rahisi.
Busara ni kupambania uhuru wa Lissu; to hell with CCM nonsensical gain along the way.
Sitaki kumsemea Lema kauli ambayo hajatamka.Kwamba Lema mwenye elimu ya hapa na pale anaelewa nini cha kufanya kuliko Lissu mwenyewe...
Unataka kunambia msimamo wa Lissu wa kukataa huruma za waliomsingizia ni ujinga?
Lema na Mbowe walikua wanaenda Upinzani ili kuogopa kustukiwa, Lissu ndiyo anayeenda kihalali, na ndio maana hadi alinusurika kuuawa Dodoma 2017.Sio kila mpinzani anayekwenda jela ni mpinzani brother...
Wengine wanakwenda ili uaminishwe mko pamoja...
Simuhukumu Lema, ila ana sifa nyingi za uhuni huo.
Tuhuma zote dhidi yake ni za kweli na kathibitisha yeye mwenyewe.Amenishangaza sana kumlaumu Mange kuhamasisha maandamano badala ya aliyeua. Halafu kumbe amekuwa ni mtu wa kufanya vikao na viongozi wa serikali kujadili mambo ya chama, sasa anafanya kama nani sijui
Halafu anaanza kuwasemea watu wengine sijui Sugu, Mbowe...
Kigezo chako cha kuwa mwanasiasa bora ni kwenda jela je Samia ameshaenda jela.Umewahi kwenda jela kwa sababu ya CHADEMA zaidi ya kuwa ‘silver surfer’ and ‘keyboard warrior.
Embu jaribu kuvaa viatu vya Lema ata kwa siku Moja kwa mkutano wa mtaani kwako tu.
Mambo mengine ni rahisi kwa kuropoka tu.
Pumbavu zako, viatu gani? Vya usaliti? Pumbavu kabisa. Jela gani alikwenda si ilikuwa maigizo for a long time he has been an agent of ccm and shetani. Afadhali jana kasema ukweli wake sheitwani mkubwaUmewahi kwenda jela kwa sababu ya CHADEMA zaidi ya kuwa ‘silver surfer’ and ‘keyboard warrior.
Embu jaribu kuvaa viatu vya Lema ata kwa siku Moja kwa mkutano wa mtaani kwako tu.
Mambo mengine ni rahisi kwa kuropoka tu.
Kwa mawazo hayo, utakuwa sahihi zaidi ukihoji uwepo mzima wa CHADEMA (raison d'être) na wanachokipigania ambacho, kama ulivyofafanua, hakiwezekani. Yaani unaona wanafanya uzururaji tu usiokuwa na tija inayopimika.Sitaki kumsemea Lema kauli ambayo hajatamka.
Halikadhalika kwa upande wa Lissu nani kwenye dunia hii asiejua yupo jela kwa fabricated charges
Nani asiejua serikali imeamua kumfunga tu kwa utashi wao.
As far as international community hawajali (you’ve got to understand) how they operate to see that.
Sasa whats the end goal ya Lissu kuendelea kukaa jela zaidi ya kwa manufaa ya Maria na Mange.
Kwa viongozi wa CDM hakuna priority zaidi ya uhuru wa Lissu kwa sasa. Else what goals are they pursuing, amounting to what na tunapimaje mafanikio.
Nina uhakika wa asilimia 100% hizo measurable goals hawana, zaidi ya upuuzi wa kudhurura tu.
Wakati wakifanya upuuzi huo mwenyekiti anasota jela kwa kazi bure.
Uhuru wa Lissu lazima iwe priority ya CDM walau una justification. Hiko chama kinasikiliza upuuzi wa wanaharakati sana.
Yaani Lissu aumie tu kwa akili zenu za kipuuzi.
Pathetic
Kwa nini unalaumu wanaharakati wakati Lissu na yeye anawaza mwenyewe na ana utashi wa kuamua?Sitaki kumsemea Lema kauli ambayo hajatamka.