Timu yako ni ipi kimataifa? kwanza pole mkuu unaumia sana?Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Tatizo lako umeenda kibanda umiza na matokeo yako kwamba Simba anapigwa hio ni big mistake 😂Nikieendelea kufuatilia NBC sitokuwa tofauti na loose Nut , bora nifocus kufuatilia Sizoni za Kikorea kuliko maigizo ya NBC View attachment 3703406
Ni wakati wetu kutamba,Kila Goti litapigwa
Ubaya Ubwela wa ukweli ndio awamu hii.Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Mwaka wetu huu mkuu, Steve barker ndiye kocha Ole wao wafanye fihisu aondoke tena kama faldu.
Mtoto ameshanyonya? REFA kasikia kilio chako, kamaliza mpira mda tu.Daah! Yaani baada ya ile 1-2 nilijua ndo ishatoka.
Magungu mshenzi sana, huyo ndo mchawi wa simbaUbaya Ubwela wa ukweli ndio awamu hii.
Na mamluki wenu Mangungu tunamfurusha hivi karibuni, mbona uto huu mwaka mtaacha na ⚽ kwa ujumla kuhamia masumbwi ya kina mandonga na Mwakinyo.
Aloooo 😂😂😂