Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Kuleta timu yangu haitawazuia ninyi kubebwa, hata ikija Real MadridLeta timu yako basi 😁
Ninyi bila kubebwa mtafungwa hata na nagurunyembe FC
Kuleta timu yangu haitawazuia ninyi kubebwa, hata ikija Real MadridLeta timu yako basi 😁
Wewe kweli kubwa jingaM B E L E K O
HaswaaaKazi anayo, this time around.
Sawa WakubebwaWewe kweli kubwa jinga
😂😂😂Ile acrobatic ingekubali sijui tu
Huwezi kuacha kirahisi hivyo kufuatilia NBC 😀😀Come back😀Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Similiki timu yoyoteAcha porojo leta timu yako basi 😁
Kesho tengeiweka Kwenye Big Screen zote za DarIle acrobatic ingekubali sijui tu
Mimi ni mtu wa misimamo migumu , kama niliacha Jf kwa makusudi nikafuta app na kuwa unfollow Wasap ndani ya miezi mitatu ndio nimerudi mwezi huu nashindwaje ligi kuu ?Huwezi kuacha kirahisi hivyo kufuatilia NBC 😀😀Come back😀
Sasa huko sio kuacha mkuu..Hapo unakuwa umepoteza hamu kwa matukio kadhaa..Mimi ni mtu wa misimamo mikali , kama niliacha Jf kwa makusudi nijafuta app na kuwa unfollow Wasap ndani ya miezi mitatu ndio nimerudi mwezi huu nashindwaje ligi kuu ?
Hata Ulaya nimepunguza kufuatilia mda sana naangalia UEFA tu tena kwenye hatua muhimu , Kombe la Dunia na Big matches kama El Classico , na iliyokuwa timu yangu Manchester united nilikuwa nilikuwa nyumbani nanyimwa chakula na kupigwa kisa Man U sasa miaka karibia mi 5 sifuatili kabisa hata nisikie imefungwa hainiumi
Mwaka huu kazi unayo.Jishikilie.!
Hivi unajua hizi tuhuma zinaweza zikahusishwa na upangaji wa matokeo? Sioni kama ni kweli maana fifa na CAF ungekuta wamelivalia njuga haswaPenati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja