cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Anaondoka hivi karibuni, atake asitake anafurushwaa.Magungu mshenzi sana, huyo ndo mchawi wa simba
Anaondoka hivi karibuni, atake asitake anafurushwaa.Magungu mshenzi sana, huyo ndo mchawi wa simba
Yule mzee ataturoga tena miaka nenda miaka rudi kapo tu, mpaka aka chapwa ngumi ila wapi!! 😂Anaondoka hivi karibuni, atake asitake anafurushwaa.
Hana sifa tena kwanza, kanuni na sheria inasema mwenyekiti hatakiwi kuvuka miaka 65 ya umri, yeye ana 67 sasa, hivyo hastahili tena.Tumemvumilia sana aise
Walaa, awamu hii kanuni inamkataa, hana sifa wala vigezo tena.Yule mzee ataturoga tena miaka nenda miaka rudi kapo tu, mpaka aka chapwa ngumi ila wapi!! 😂
Safi sana. Itapendeza Sana, hivi hata sajili alikuwa anahusika yeye? Maana inaonekana katuchezea sanaWalaa, awamu hii kanuni inamkataa, hana sifa wala vigezo tena.
Kabisa na aende tu huko, sahivi anajifanya anaipenda simba, mara avae jezi nyekundu, mara Blue.Tunamtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mapya huko aendako 😁
Mangungu kafanya figisu wee, TFF imeingilia kati uchaguzi upo tena ni January. Na watasimamia wao TFF.Safi sana. Itapendeza Sana, hivi hata sajili alikuwa anahusika yeye? Maana inaonekana katuchezea sana
Povu povu linda povu lakoPenati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Teka foengo leo kidogo limeonyesha uhai
Comeback za kibabeDaah! Yaani baada ya ile 1-2 nilijua ndo ishatoka.
Pole kwa maumivu ndugu utakuwa sawa tu kadri muda unavyoenda.Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Tatizo lako umeenda kibanda umiza na matokeo yako kwamba Simba anapigwa hio ni big mistake 😂
Jamaa kazingua nimemuona kacheki ubao namungo 2 akakimbilia kibanda umiza kucheki Gemu na kusumbua wana ,Wanzake wanaojua mpira walijua kabisa namungo hawezi kushinda kwa namna mechi ilivyokua inaenda
Kwanza nilifurahi wao kutangulia ikabidi niongeze mzigo betpawa
Kazi anayo, this time around.Mangungu kafanya figisu wee, TFF imeingilia kati uchaguzi upo tena ni January. Na watasimamia wao TFF.
Mamluki ngungusi yuko kuti kavu, hana Pa kushika wala kugusa.
😂😂😂
Punguza hisia kaka. Hiyo ni penati clearPenati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka
Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja