Kila nikipost picha yangu lazima nikutane na comment yake 'Cheusi Mangala mwenyewe', inaninyima amani

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Habari Wakuu,

Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.

Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo moja ambalo huwa analifanya na linanikwaza sana na kuninyima amani, yaani kila nikipost picha yangu Instagram au hata nikiweka status lazima ata-comment "Cheusi Mangala".

Siwezi kukataa rangi yangu kwamba mimi ni mweusi ila sasa ndo mtu uje kila post unacomment neno hilo hilo jamani kweli?

Nimewahi kumwambia kuhusu hiyo tabia lakini bado anaendelea sijui anahisi ni utani wakati mimi inaninyima amani kuna muda nashindwa hata kupost nikiwaza atakuja pale kukoment huo upuuzi.

Sidhani kama ni sawa, inaninyima amani
 
Black is beautiful, akikuambia hivyo we mfurahie na ikiwezekana mjibu kwa bashasha tu.
Akiona hu-react vibaya ataacha.

Model Victoria Secrets GIF.gif
 
Uyo jirani n jinsia Gani na wewe pia una jinsia Gani?
 
Huyo ameshajaribujaribu kila rangi anataka amlambe na mangala 😊

Ila kina mangala joto lenu ni zaidi ya mabomu 7 ya thermobaric
FB_IMG_17912017600751563.jpg
 
Linakutesa kwakuwa umelipa nafasi ya kufanya hivyo. Puuzia.
 
Na wewe mtafutie angle yake, kama ana kichwa kikubwa muite "kichwa boflo".

Kama ni bonge muite "tutufya".
 
Tafuta huo muziki wa cheusi mangala usikilize kwa makini, sijui aliimba nani huko miziki ya zamani, utaelewa ujumbe anaokuja. Kama ni jirani yako ameona afikishe ujumbe kwa njia hiyo.
 
Jikubali tu
Ukishindwa block ili asiwe anaona
BTW black is beautiful halafu wa motooooo
 
Habari Wakuu,

Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.

Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo moja ambalo huwa analifanya na linanikwaza sana na kuninyima amani, yaani kila nikipost picha yangu Instagram au hata nikiweka status lazima ata-comment "Cheusi Mangala".

Siwezi kukataa rangi yangu kwamba mimi ni mweusi ila sasa ndo mtu uje kila post unacomment neno hilo hilo jamani kweli?

Nimewahi kumwambia kuhusu hiyo tabia lakini bado anaendelea sijui anahisi ni utani wakati mimi inaninyima amani kuna muda nashindwa hata kupost nikiwaza atakuja pale kukoment huo upuuzi.

Sidhani kama ni sawa, inaninyima amani
Skull Throne _ This Is Not a Bed… It’s a Whole Got.jpeg
 
Back
Top Bottom