Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini
Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini
Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi
Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza...
Sii kwa ubaya.
Naombeni mnijuze, jamaa yupo hapahapa Tanzania, hajawahi kuitwa hata ofisi ya RCO licha ya kuwa ni mkosoaji wa utawala wa masisiem.
Naombeni mnijuze, kuna nukta naunganisha hapa
Hamjambo!
Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo.
Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kuhusu vyombo vya dola kuwa mali ya CCM.
Heche amesema kauli hiyo ni nzuri na kwamba inaweza kusaidia...
Na ninayaongea haya kama Mkristo
Kuna fikra potofu zilizozoeleka kwamba viongozi na teuzi nyingi lazima wajae wakristo, tuanze kuzoea baadhi ya teuzi muda mwengine wajae waislam hata kwa asilimia 90%.
Kwa muda mrefu sana tulizoea kuona safu za viongozi zikijaa wakristo, kuna wakati nafasi za...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.
Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF.
sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara.
Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:-
kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama...
Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao.
Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili jambo ni lazima liangaliwe kwa Umakini Mkubwa sana na kuchukua hatua za Makusudi za haraka sana kuwadhibiti kikamilifu na kisawasawa wanasiasa ambao wamekuwa wakijipa uhuru na kazi ya kuzunguka Nchi nzima kueneza chuki ,uchochezi na uchonganishi dhidi ya serikali...
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.