CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,366
Reaction score
5,209
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.

Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.

Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
 
naona umeexpose chuki binafsi na mihemko yako useless tu jukwaani,
but this is completely nonsense article of the day 🐒
 
YBWYB

1790670054958.png

No menenti mente!,' I mean' hakuna njia mbadala!
 
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.

Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.

Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Paul chacha? Makonda mpya mjini? Hana akili kama makonda
 
Back
Top Bottom