ok.🐒Watanganyika wameikataa CCM. Hawatishiki kwa kesi na matumizi ya vyombo vya dola.👇
Kilichokuwa kinahitajika ni kuonyesha njia watu, they wakosoaje na wapingaji wataongezeka kila leoPamoja na kutekwa, kupotezwa, kuua watu, kesi za michongo nk kama silaha za kutishia watu waipende ccm lakini ndio kwaanza wapingaji wanazidi kuongezeka siku hadi siku!.
Kuna vitu tunavisoma au kufundishwa na kuvikalili mpaka tunafikia kuviishi maishani asa kwenye harakati zetu za siasa lakini ukitumia jicho la tatu utakuta ni ubatili kabisa.Watanganyika wameikataa CCM. Hawatishiki kwa kesi na matumizi ya vyombo vya dola.👇
View attachment 3643354