John Heche: Msafara wetu unafuatiliwa na vyombo vya dola, Sisi sio wahalifu, acheni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema

"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana tulikuwa Makambako na Njombe..."

"...Kumekuwepo na utaratibu wa msafara wetu kufuatiliwa na vyombo vya dola. Watu wetu wako makini. Sasa mimi nataka nitumie nafasi hii kuwaambia: sisi sio wahalifu, sisi ni watanzania wema. Ni watu tunaopenda nchi hii."

"Vyombo vya dola fanyeni kazi na wajibu mliopewa kwa mujibu wa katiba, sio kutishia CHADEMA. Mimi John Heche, uoga niliacha tangu nilipozaliwa siku ile ile! Kwa hiyo hakuna mtu wa kunitisha mimi. Tunaelewana vizuri?"

"Kwa hiyo mkome! Mkome kutufuatilia fuatilia na wale vijana mnaotumwa tumwa. Hii nchi watu wana machungu makubwa sana. Watu wameuawa, watu wananyang'anywa mali zao, utajiri wa nchi yetu unaibiwa. Acheni kabisa! Kujaribu kupiga nchi hii kiberiti, kuna siku mtasikitika. Mtawasha moto ambao..."

Labda wanataka kuhakikisha usalama wa viongozi wa Chadema
 
Duuh
 
Back
Top Bottom