Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

Wewe zezeta kuna siku ulipandisha uzi humu ukakataa majaji sio maccm kama alivyosema Lissu leo umepandisha uzi unajipiga risasi mguuni unakiri tena vyombo vyote ni mali ya CCM.

Hivi huko CCM mkishaingia ubongo mnaacha mlangoni Lumumba ?
 
Wewe na yeye na wengine kama wewe hamna akili kabisa!!, kama hivyo vyombo ni Mali ya ccm !!, kipi kinawafanya ccm kukataaa shutuma dhidi ya mauaji ya oct29?, wanaosema Samia ameau watanganyika wanakosea?.
 
Back
Top Bottom