Tunahitaji kuzalisha umeme MW laki moja ili kuwa na uchumi wa dola trilioni moja.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.

Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na aina ya uchumi. Kama ni huduma, kutengeneza bidhaa za watu kama simu au viwanda vizito vya chuma na kemikali.

Tanzania na Nigeria wamelenga viwanda vizito. Ukiweka na factors zingine za umeme, zinahitaji MW 100,000 kila moja ili kufikia uchumi wa 1 trilioni dola.

Kwa sasa Tz inazalisha MW 4,400. Ni safari kufikia MW 100,000. Hata hizo za chini 35,000 bado safari ndefu sana.
Kwa Afrika ni nchi mbili tu, South Afrika na Egypt ndizo zina umeme unaopita 35,000 MW.
Tutafika hii safari yetu ya uchumi wa trilioni 1 usd au ndiyo tumeishakwama?
 
Dira ya CCM inasema wanataka wazalishe umeme kiasi gani kufikia mwaka 2050 ??
 
Quick search inasema malengo ni kuzalisha MW 74,000 kufikia 2050. Kufikia 2030 tuwe na 8,000MW
 
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.

Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na aina ya uchumi. Kama ni huduma, kutengeneza bidhaa za watu kama simu au viwanda vizito vya chuma na kemikali.

Tanzania na Nigeria wamelenga viwanda vizito. Ukiweka na factors zingine za umeme, zinahitaji MW 100,000 kila moja ili kufikia uchumi wa 1 trilioni dola.

Kwa sasa Tz inazalisha MW 4,400. Ni safari kufikia MW 100,000. Hata hizo za chini 35,000 bado safari ndefu sana.
Kwa Afrika ni nchi mbili tu, South Afrika na Egypt ndizo zina umeme unaopita 35,000 MW.
Tutafika hii safari yetu ya uchumi wa trilioni 1 usd au ndiyo tumeishakwama?

Unajua Afrika kwa sasa wangapi wapo na hiyo Laki moja?
Jua Hakuna.
Egypy = 60KMW
SA= 55KMW
Algeria = 22kMW
Morocco=11.4KMW
Libya = 10KMW
Ethiopia = 10KMW
Angola = 6.2KMW
Nigeria = 4,700MW
TZ = 4,646MW

Africa yote capacity ni 82,397 MW.
 
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.

Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili kulisha uchumi wa dola trilioni moja. Imesema kuwa range ni 35,000-130,000 MW installed kutegemea na aina ya uchumi. Kama ni huduma, kutengeneza bidhaa za watu kama simu au viwanda vizito vya chuma na kemikali.

Tanzania na Nigeria wamelenga viwanda vizito. Ukiweka na factors zingine za umeme, zinahitaji MW 100,000 kila moja ili kufikia uchumi wa 1 trilioni dola.

Kwa sasa Tz inazalisha MW 4,400. Ni safari kufikia MW 100,000. Hata hizo za chini 35,000 bado safari ndefu sana.
Kwa Afrika ni nchi mbili tu, South Afrika na Egypt ndizo zina umeme unaopita 35,000 MW.
Tutafika hii safari yetu ya uchumi wa trilioni 1 usd au ndiyo tumeishakwama?
hao SA na EGY kacheki tena hawana uo umeme
 
Hadi tukifika huko kwa mwendo wetu wa kinyonga kwa suala la maendeleo itakuwa miaka mingi sana na nahisi dunia haitokuwepo
 
Back
Top Bottom