Najisikia huzuni kuiona chadema ya Mbowe ikiwa hivi. Haiko tayari kukamata dola.

CHADEMA ya Lissu na Heche si wewe pakee inayemkosesha usingizi, ni maCCM yote hayalali!
Ni kweli sababu anazosema hapa zinatosha kabisa Heche kupewa kuiongoza nchi hii? Kwanza kuweza kumuelewa anachosema utahitaji uvute bange kwanza. Eti barabara za Tz hazipitiki nchi nzima, kote hakuna umeme nchi nzima, eti mjerumani kajenga reli kwa miaka tisa tu kwahiyo apewe yeye nchi aiongoze tuone maendeleo ya kasi ya mwanga. Kama hujavuta bange huwezi kukaa masaa yote kwenye mkutono wake kumsikiliza.
 
Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.
 
Nadhani suala sio kugawa nchi iwe kwa Heche au Lissu ila ishu ni kuwafanya wananchi wawena uwezo wa kuona nani awe kiongzi wao wenyewe.
 
Hapo Heche yuko Arusha. Ni kweli Heche macho yake hapo hayaoni shughuli yoyote ya maendeleo ya wananchi inayofanyika?.

Nfdiyo maana nasema unahitaji umevuta bange kwanza ndiyo umuelewe anasema nini.
 
Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.
Unaamini huyo sio mtu wa ssm?
 
Nadhani suala sio kugawa nchi iwe kwa Heche au Lissu ila ishu ni kuwafanya wananchi wawena uwezo wa kuona nani awe kiongzi wao wenyewe.
Mwananchi akitaka kwenda kujinyonga tutamzuia asijinyonge na kumshitaki kwa kosa la kutaka kujinyonga.

Kuna watu waliolewa, kupata mimba na kuvuta bangi kwa kulaghaiwa tu.
 
Chadema ya Mbowe ilikuwa compromised ndio maana ulikuwa unaiona hivyo, tulidanganywa sana kuwa tuna upinzani serious, kama unataka vyama vya design hiyo mbona vipo vingi tu ipo ACT, CHAUMA etc.
Waendelee tu, inatusaidia kuiambia dunia kuwa tuna demokrasia pia.
 
Kama S100 anaongoza na diploma yake ya wanyapori, huku Mtoto wake wanu ni N/Waziri wa wizara nyeti na diploma yake ya day care ... Cdm itasndishwaje...
 
kama anayesema "hata marekani mafuta yanaizidi tanzania bei" anaongoza nchi kwanini heche ashindwe?
 
Master of Covert Opz.
FB_IMG_17910908581453380.jpg
 
Back
Top Bottom