This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
HANANG'
Jumla ya hati miliki 266 za viwanja na mashamba zimetolewa kwa wananchi wa Kata ya Dawar mkoani Manyara.
Hati hizo zimetolewa Oktoba 8, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’, aliyekuwa Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi hati hizo Mhe. Vita Rashid Kawawa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji...
Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee.
Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya kumpeleka katika eneo la mapokezi la hospitali hiyo, walimpiga pingu, wakampandisha kwenye gari na...
Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah
Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza raia
Kwakuwa pale kunakuwa na foleni gari na pikipiki Huwa zinapita polepole askari wakishirikiana na...
Mchungaji Peter Msigwa amesema mfumo wa vyama vingi unahitaji kuwepo kwa uhuru wa mawazo na nafasi ya wananchi kuikosoa serikali bila kuhusishwa na usaliti au mapinduzi. Akizungumza katika Mkutano, Msigwa amedai kuwa kuna viongozi wanaona kuikosoa CCM ni sawa na kukosa uzalendo, huku akisema...
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano.
Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya Chemba...
Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA).
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) ametoa angalizo hilo akipokea taarifa...
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika.
Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji.
Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulu
mwigulu nchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato wa uthamini.
Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rashid...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha:
"Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎
Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔
Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society .
Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income.
Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii.
Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli
Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
Video kutoka Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua, imeibua mjadala baada ya kundi la Wakazi kuvamia baa moja wakidai inauza pombe haramu.
Katika video hiyo, wananchi wanaonekana kuingia katika eneo la baa, kuchukua na kuvunja baadhi ya chupa na makasha ya pombe, huku mwanamke anayedaiwa kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.