Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii.
Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii hubaki na wananchi, hivyo ni kosa kubwa kwa msanii kutetea ajenda za serikali au kuzungumza kwa niaba ya Serikali.