steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah
Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza raia
Kwakuwa pale kunakuwa na foleni gari na pikipiki Huwa zinapita polepole askari wakishirikiana na jamaa wawili mmoja ana kitambo hivi sizani kma nae ni askari wanakamata watu
Hukamata watu walio kwenye bodaboda na mizigo au watu wanotoka kununua mizigo mjini Kisha wanawaaogeza pembeni wanawadai hela
Wanachofanya wakishakukamata polisi kazi anaachiwa jamaa mmoja hivi anavaaga kilaia yeye anakuvuta pembeni anakitia mkala Ili uwape hela
Mfano umetoka kununua bidhaa nying tofauti anakidai risiti ya kila Bidhaa anajua huwez kuwa na risiti zote akishakua hivyo anaweza tu kukwambia tupate laki nanusu tukuachie
Mm ni muhanga nilikuwa naenda kutuma mizigo ya mteja wangu inaenda Arusha risiti niliziacha dukani wakanilazimisha niwape lakimoja
Nikajaribu kufatilia kama ni Mimi tu ndyo walinikamata nikagundua jamaa ni kama mladi wao hasa wakijua wew ni mgeni wa mji Leo nimepita tena wamewakamata jmaa na pikipiki MPYA yule yule jamaa asiye na uniform anaongea nao kwenye mazingila kama aliyokuwa anaongea na Mimi inaonesha jmaa ndiyo BIASHRA Yao
Hii mbaya na huenda isiwe na matokeo mazuli siku zijazo