Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha:
"Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎
Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔
Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena kwa hasira kuwa mnafanya haya kwa faida gani na faida ya nani?"
Ufafanuzi wa Shirika ~ TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro