MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:-
Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru
Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule
Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku.
Miaka 70-75 yupo huru
Baada ya hapo ni kifo
Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
Je,
ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi?
Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
bado
edward
hayati
hukumu
kabla
kisiasa
kiuchumi
korokoroni
kuomba
lowasa
mpinzani
mtuhumiwa
muda
nguvu
ni kwanini
siku
tanzania
tena
uhaini
ulimwenguni
ushawishi
wana
watuhumiwa
watuhumiwa wa uhaini
zao
Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano bila kuwa na kitambulisho cha kazi.
Wahusika wanakwama wapi? Hali hii inawaweka watumishi...
https://audiomack.com/nasmiletz/song/dj-nasmiletz-miaka-30-bongo-flava-oldskool-mixcrate zimeandaliwa na dj nasmiletz +255627474141 je kuna noma ani imemiss?? na ipi umeikubali?? sikiliza mpaka mwisho ufurahie na ukumbuke enzi zako
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja.
Kila wakijaribu kufatilia wanatishiwa kufukuzwa kazi, wakimueleza Mganga Mkuu na DMO wanaambiwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
hawajalipwa
hospitali
miezi
miezi mitatu
mishahara
muda
musoma
wafanyakazi
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake.
Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya chini ndiye anayepaswa kupewa na yule mwenye nacho. Lakini watoto hawa wametufundisha somo tofauti...
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine.
Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote.
Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?
Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu .
Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
Habari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda...
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.