muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

    Hamjambo! Jua ni Kali sana hapa! Kupigana vikumbo ni hali iliyozoeleka maeneo haya. Kelele za watu na magari kama kawaida. Hakuna anayeshtushwa na hayo. Imezoeleka hivyo. Lakini kuna jambo moja sio la kawaida macho yangu yanaliona. Na naamini sio mimi pekee bali wengi wanaona hali hii. Maeneo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wanasema wakitaka muda wowote wanatuua kwa kutulisha steel wire....

    Wanatamba Sana Na hii point, Sasa tumalize mchezo ikitokea nikafa Leo kifo cha kutatanisha suspect wa Kwanza Ni mke wangu au mpenzi wangu....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Mzumbe kusogezwa Oktoba badala ya Novemba na Disemba inatuathiri Wahitimu

    Mahafali ya Mzumbe Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño...
  5. Rayamikhal

    JamiiForums Tanzania Kama muda ukirudi nyuma na ukapewa nafasi ya kubadili future yako, kwa upande wako utafanya nini?

    WanaJf ni muda sasa wakuwekana wazi siku ya leo. Kila nafsi ya mtu moyoni amejaza Siri nyingi sana na yenye kuumiza moyo, wengine majuto:( wengine vilio:( wengine mikosi :( Wanasaikolojia walifika tamati na kusema maisha ya binadamu yoyote huchukua mabadiliko na kuanza kuandaa future kwenye...
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?

    Eti Wanajukwaa Hihi, Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  9. babukijana

    JamiiForums Tanzania Muda chid , q chillah % makusudi awilo

    Kuna vitu vinachekesha sana Chid Benz huku na Q Chief nyimbo nzuri ina vina na maono wanaimba no hamna mwenye habari. Kuna wimbo unaitwa "Makusudi" wa Awilo Longomba hamna hata verse moja anaimba zaidi ya kucheza beat,mara umenigusa makusudi,umenipamia makusudi,umenipara makusudi. E bana sebene...
  10. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nauguza muda Mrefu nauza friji nipate kodi

    Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kupata hela, aya mambo ya hoya hoya yanatupotezea muda.

    Unauza bidhaa gani au unatoa huduma ipi kwa bei rafiki?
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katambi haina Vision kiasi cha Waziri kupata muda wa kudeal na petty issues?

    Wizara haina muda na utekaji Wizara haina muda na mauaji Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

    1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
  20. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
Back
Top Bottom