Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1. Stories na Marafiki

2. Games

3. Mitandao ya kijamii

4. Movies na Series
 
Tunaogopa kuwambia maana hamna uelewa na akili zenu zimefungwa
 
Back
Top Bottom