Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?

Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?

Kama unamaanisha recategorization. Hubadilishwa kupitia bajeti ya mishahara . Ukipeleka vyeti vyako kwa hr anatakiwa mwaka unaofuata akuweke kwenye bajeti ya recategorization na hiyo bajeti ikishapitishwa basi unabadilishwa kada
 
Mimi ni muhandisi nimeajiliwa kama mwalimu sijathibitishwa na si thibitishwi mpaka ni some PGDE je naweza kufanyiwa recategorization
 
Back
Top Bottom